Wednesday 27 February 2013

Married Man Caught Pants Down With A Married Female Pastor


Married Man Caught Pants Down With A Married Female Pastor

There was drama in Highfield, Zimbabwe on Sunday night when a married, female pastorwas evicted from her matrimonial home after she was reportedly caught pants down with a married man in their matrimonial bed.
Pastor Tsitsi Mukwamba, was reportedly caught by her husband after news that she was having extra-marital affairs with young males reached her husband. The man whom she was caught with in bed reportedly died mysteriously the same day.
Police spokesperson confirmed the sudden-death report after a misunderstanding between the deceased and his girlfriend.
“Police are still investigating a sudden death of the deceased following a misunderstanding between the deceased and his girlfriend. The deceased’s wife reported that the deceased downed poisonous pesticide at his girlfriend’s house following a misunderstanding with the suspect. The deceased failed to justify to his wife how he was poisoned in the neighborhood when he reported to her that he was coming from another state.

I Slept With My Sister’s Husband, How Do I Tell Her – I Need Help

“And police are treating it as a suicide case and investigations are in progress,” said InspChibanda. Our news crew visited the house on Sunday night and found multitudes of residents milling around the house intending to mete instant justice on Pastor Tsitsi. Police had to be called in to control and disperse the crowd and she was smuggled out of the house by her husband who went and dumped her at Machipisa Police Station.
“We want to teach her the correct way she is supposed to preach to the congregation when she is called the woman of God at church,” one of the residents was heard saying.

My Husband Can’t Cater to My Needs,I want a Divorce

Confronted for comment, the husband, identified as Baba Anesu said: “This is a family affair which does not need media coverage. There is nothing going on, people just want her to pay back their debts.This is just mob psychology,” he disguised.
Tsitsi could not entertain questions and she sought refuge in a cab before it sped off. The now deceased man is understood to have narrated everything to his wife and was rushed to a local doctor where he died that very night.

Saturday 23 February 2013

PICHA MBALIMBALI, WACHUNGAJI WA HUDUMA YA MAOMBEZI YA REDIO SAFINA WAKITOA MAOMBEZI SHEIKH AMRI ABEID LEO, KULIOMBEA TAIFA KUONDOKANA NA DHAMBI



DHAMBI iliyoachwa kwa muda mrefu bila kukemewa ni matokeo ya majanga yanayoikabili Tanzania hivi sasa na kusababisha mauaji ya watumishi wa dini ya Kikristo nchini, kufeli kwa wanafunzi kidato cha nne, mvua kutonyesha kwa wakati. 

Hayo yalielezwa jana jijini hapa na mchungaji Jovin Msuya wa huduma ya redio safina alipokuwa akihubiri kwenye kongamano maalum la kuiombea Taifa kuondokana na majanga hayo.

Mchungaji Msuya alisema matokeo ya dhambi hiyo ni vuguvugu la uvunjifu wa amani na utulivu ambao umejitokeza hivi sasa nchini na kwamba endapo waumini wa dini mbalimbali nchini hawatajitokeza kukemea matokeo yake ya baadae ni makubwa zaidi.

“Ili kutokomeza dhambi hizi ni wakati muafaka sasa kwa mamlaka za Kiserikali kwa kushirikiana na viongozi, taasisi na waumini wa dini zote nchini kutumia mamlaka walizokuwa nazo kukemea na kupatia suluhu vurugu ambazo zimekuwa zikitokea ili kurejesha amani na  utulivu ulioanza kutoweka,”alisema Msuya.

Aliwataka watanzania wa dini mbalimbali kuacha vurugu na uchochezi ndani ya nchi na badala yake kuhamasisha maombi ya kukemea roho za umauti  ambazo matokeo yake ni mauaji ya viongozi.

Alisema kila  jambo ambalo limekuwa likitokea nchini limekuwa na sababu yake kwa Mungu hivyo kuwataka watanzania kujiuliza sababu iliyopelekea kufeli kwa wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne sanjari na mauaji ya  viongozi wa dini.

Aidha Mchungaji Christian Mwabukusi, alisema maovu mengi ambayo yamekuwa yakitokea ndani ya jamii yamekuwa yakichangiwa na ugumu wa maisha waliyokuwa nayo watanzania kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa ajira.

Alisema maombezi kwa Taifa yanayofanywa na redio hiyo yatakuwa yakifanyika mara moja kila baada ya miezi mitatu na kutoa wito kwa watanzania kuungana katika maombi hayo ili kunusuru Taifa katika dhambi.


WAUMINI WAKIWA WAMENYANYUA MIKONO JUU KULIOMBEA TAIFA

WAUMINI WA KIKRISTO JIJINI ARUSHA WAKIANDIKA MISTARI YA BIBLIA ILIYOKUWA IKITAJWA NA WACHUNGAJI



WACHUNGAJI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA KIKRISTO NCHINI WAKIWA WAMENYANYA MIKONO KUSHIRIKI MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA KUONDOKANA NA DHAMBI, WA KWANZA KULIA NI MCHUNGAJI ANDREW KAJEMBE WA KANISA LA ST.JAMES ARUSHA

WAUMINI WA MADHEHEBU MBALMBALI YA KIKRISTO JIJINI ARUSHA WAKIWA WAMEJIFUNIKA KWA MIAVULI NA KANGA KUZUIA JUA KALI LILILOKUWA LIKIWAKA UWANJANI HAPO

MCHUNGAJI WA HUDUMA YA MAOMBEZI NA REDIO SAFINA JOVIN MSUYA AKITOA MAHUBIRI

MCHUNGAJI CHRISTINE MWABUKUSI AKITOA MAHUBIRI KATIKA KONGAMANO HILO


WAKIWA WAMENYANYUA MIKONO JUU WAKIIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO KUOMBEA NCHI YETU

WAUMINI WAKISIKILIZA MAHUBIRI

Friday 22 February 2013

WAJUMBE WA KAMATI YA ENEO TENGEFU LA MIRERANI WALIPOTEMBELEA MFEREJI WA D'SOUZA, WAKIONGOZWA NA KAMISHNA WA MADINI KANDA YA KASKAZINI INJINIA BENJAMIN MCHWAMPAKA

Kamishna wa madini kanda ya kaskazini, Injinia Benjamin Mchwampaka akiwaonyesha wajumbe wa kamati ya eneo tengefu la mirerani mdomo wa kuingizia maji katika mfereji wa D'souza uliojengwa na Serikali kuzuia mafuriko ambayo yamekuwa yakisababisha maafa mara kwa mara kwa maji kuingia kwenye machimbo

Wajumbe wakiangalia mfereji wa D'souza wa kwanza kulia ni Frank David mwandishi wa habari wa Tanzania Daima


mfereji wa D'souza kama unavyoonekana, pembeni ni wajumbe wa kamati ya eneo tengefu la mirerani

Mbunge wa Simanjiro na mjumbe wa kamati ya eneo tengefu la Mirerani Christopher Ole Sendeka(kulia),  akiteta jambo na diwani wa kata ya Mirerani Justine Nyari wakiwa kwenye matembezi ya kutembelea mfereji wa D'souza, pembeni yake aliyeshika karatasi ni Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Brigedia Jenerali Francis Kayombo


Thursday 21 February 2013

HONORABLE ABDULRAHAMAN KINANA LAUNCHES EAC ELECTION OBSERVER MISSION TO KENYA GENERAL ELECTIONS

East African Community
PRESS STATEMENT BY LEADER OF EAC ELECTION OBSERVER MISSION TO KENYA’S GENERAL ELECTION, Hon. Abdurrahman Kinana AT THE MEDIA LAUNCH
18TH FEBRUARY 2013, HILTON HOTEL
NAIROBI, KENYA
Ladies & Gentlemen of the Press
Thank you very much for attending this media briefing called to notify you of the deployment of the EAC Election Observer Mission to the Kenya General Election 2013. On behalf of the Mission and on my own behalf, allow me to thank the Government of Kenya for inviting the East African Community to deploy this Mission.
The East African Community is deploying an Election Observer Mission to the Kenya General Election 2013 from 18th February – 8th March 2013. The deployment of the EAC Election Observer Mission to the Kenyan elections is part of EAC’s goal to promote democratic governance in line with the fundamental principles of the Community.
The Treaty for the Establishment of the East African community Art 6 (d) requires the Partner States to promote good governance through adherence to the principles of democracy, the rule of law, accountability, transparency, social justice, equal opportunities, gender equality and protection of human rights. In addition, Article 3 (3) (b) of the Treaty requires new applicants who wish to join the Community to exhibit adherence to the principles of good governance, democracy and rule of law.
The 4th EAC Development Strategy is very explicit in its strategic interventions to promote democracy and inculcate a democratic culture in the region. To this end, harmonization of democratic policies, processes and practices including election observation, evaluation and enhancing the capacity of key stakeholders including the National Electoral Commissions are key strategic interventions for the Community. 
Most importantly, the East African Community is the only regional organization on the African continent that has a clear vision of attaining a political federation. This calls for strengthening of political processes and setting regional standards in order to lay a firm foundation for a single political authority. 
  
ObJECTIVES OF THE MISSION
The overall objective of the EAC Election Observer Mission is to contribute to the promotion of the conduct of free, fair and credible elections through an environment that is peaceful and stable. In the long term, the Mission will contribute to strengthening political accountability amongst Partner States, provide an avenue for Partner States to share experiences on election management and facilitate peer learning.
The specific objectives include:
a)    to observe the electoral process and to offer a balanced and informed assessment of the elections;
b)   to create public confidence in the electoral processes by encouraging the voters and other stakeholders to participate freely in an environment that promotes competition and tolerance without intimidation or violence;
c)    to identify challenges, weaknesses, opportunities and strengths that can be harnessed into best practices for the region through peer learning by the Electoral Management Bodies (EMBs); 
d)   to assess the legitimacy of the electoral processes and outcome in accordance with internationally accepted standards; and
e)    to make recommendations for strengthening of electoral processes for the benefit of not only Kenya but for the EAC region as a whole.
Composition of the EAC – EOM Mission
The EAC Mission is composed of 40 members drawn from all EAC Partner States except from the Republic of Kenya. The Mission will be coordinated by Hon. Lydia Wanyoto, former Member of the East African legislative Assembly, from the Republic of Uganda.
The membership of the Mission has been drawn from different but complementary disciplines. It includes, members of the East African Legislative Assembly, National Electoral Commissions, National Human Rights Commissions, and youth representatives from EAC Youth Ambassadors Forum. The nominations are based on the principle of gender balance and youth involvement.
The Mission’s mandate is to observe and consider all aspects of the electoral process, assess whether the elections are conducted according to the standards for democratic elections to which the country has committed itself. The Team is also expected to make recommendations for future strengthening of the electoral processes and enhancing the capacity of Electoral Management Bodies in Kenya and in the whole of East Africa.
The EAC’s Observer Mission will be conducted in accordance with the Declaration of Principles for International Election Observation and Code of Conduct, adopted at the United Nations in 2005. The Mission will assess the electoral process based on Kenya's national legal framework and its obligations for democratic elections contained in regional and international agreements and more specifically, the Treaty for the Establishment of the East African Community.
The Team will observe the campaign activities, media coverage, examine the legislative framework and its implementation, segments of the election administration where responsibility lies with different government bodies, and the mechanisms in place for resolution of election disputes, among others.
The Mission will meet and consult with representatives of diverse stakeholders including political parties, civil society organizations, diplomatic missions, international community, media as well as with candidates, and with representatives from civil society.
The Mission is expected to exercise professionalism and neutrality in order to be able to make credible and informed assessment of the electoral process.  
EAC AND COMESA COORDINATED DEPLOYMENT
In an effort to take advantage of the multiple memberships in regional organizations, the East African Community will join forces with COMESA in having a coordinated deployment of Election Observation Mission to Kenya. This initiative is based on the need to maximize utilization of available resources, have a big pool of observers and coordinate submission of information from the observers from the field.
This initiative facilitates a wide coverage of the Republic of Kenya, enhance the credibility of the assessment and improve the quality of the report.
STRENGTHENING DEMOCRATIC PROCESSES IN EAC
The East African Community has enunciated a vibrant programme on promoting good governance in regional integration. The programme engages different political stakeholders and institutions of governance at national levels with a view to improving their capacity. This led to the establishment of the EAC Forum of National Electoral Commissions that provides a regional platform for sharing of experiences, challenges and good practices in the management of elections. In order to consolidate the gains made by individual Partner States and address common challenges to democratic governance and electoral processe, a decision was reached to also develop the EAC Principles for Election Observation and Evaluation, the instrument that has guided the structuring of the EAC Election Observer Mission to Kenya. 
Detailed reports of the EAC Election Observer Missions are discussed by the EAC Forum of Electoral Commissions with a view to mapping out common strategies in addressing some of the challenges through a peer learning and self-criticism by the Electoral Management Bodies (EMBs).
This facilitates a self-reflection by EMBs within the wider framework of improving democratic and political governance to complement the regional integration agenda. It is for the same reason that the report of the EAC-EOM, once adopted and published is considered by the Council and officially submitted to the host Partner State urging for implementation of the recommendations. With the follow up mechanism on review of progress in implementing Council decisions, and through the Forum of Electoral Commissions, the recommendations of the Observer Mission will receive adequate attention.
Conclusion
The EAC takes this opportunity to wish the people of Kenya free, fair, and peaceful elections. Observer Missions can only accompany the process. Kenyans will determine how to express their democratic rights under a new, vibrant political dispensation. We look forward to elections that strengthen and advance the democratic culture in East Africa, and that contribute to the peace, security and stability that East Africans enjoy. 
Finally, I appeal to the media as the Fourth Estate to play its right role and report objectively at this time of elections in Kenya.
I thank you all for listening to me.

VICHWA VYA HABARI MAGAZETINI LEO 21.02.2013























RAIS SHEIN ATOA SALAMU ZA MWISHO MAZIKO YA PADRI MUSHI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa
mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili
Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na
watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Zanzibar Augustino Shao,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo katika kanisa la Minaramiwili
Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na
watu wasiojuiikana Jumapili iliyopita. amezikwa jana Kijini Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Zanzibar Augustino Shao,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

SIMANZI,VILIO VYATAWALA MAZISHI YA PADRE MUSHI, WAZIRI AZOMEWA


Na Elias Msuya, Zanzibar
 
SIMANZI na vilio vilitawala mazishi ya Padri Evarist Mushi yaliyofanyika Kitope Zanzibar jana huku Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud akipata wakati mgumu baada ya kuzomewa na waombolezaji kutokana na kukerwa na hotuba yake.
 
Padri Mushi aliuawa kwa kupigwa risasi, Jumapili iliyopita wakati akijiandaa kwenda kuongoza misa katika Kanisa la Mt. Joseph Minara Miwili mjini hapa. Ibada ya mazishi iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo ilianza saa nne asubuhi katika Kanisa la Mt. Joseph Minara Miwili na kuhudhuriwa pia na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein. Baada ya misa hiyo iliyomalizika saa 6.30 mchana, msafara wa mazishi ulielekea Kitope yalipo makaburi ya viongozi wa Kanisa Katoliki.
 
Baada ya kufika makaburini, ibada ya mazishi ilianza saa 7.30 mchana na mwili wa Padri uliwekwa kaburini saa moja baadaye. Viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo ni pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa. Waziri Aboud alizomewa kutokana na kauli yake aliyotoa katika salamu za Serikali kuwa kifo cha Padri Mushi ni kazi ya Mungu, ambayo haina makosa.
“Serikali imepokea msiba huu kwa

huzuni na masikitiko makubwa. Maumivu ya familia ya marehemu ni maumivu ya Serikali. Padri Mushi ametuachia pengo kubwa lakini kazi ya Mungu haina makosa,” alisema Waziri Aboud kauli ambayo ilipokewa kwa waomboleza kuguna wengine wakizomea hali iliyowafanya baadhi ya viongozi kuwatuliza.

Mmoja wa waombolezaji alisikika akisema: “Kazi ya Mungu ndiyo imewatuma hao wahalifu kuua kwa risasi?”

Mwakilishi wa familia, Francis Mushi alijibu kauli ya waziri huyo alipopewa nafasi ya kutoa salamu kwa kusema: “Tumeupokea msiba huu kwa masikitiko makubwa hasa kwa kuwa Padri hakuugua… Alikuwa kiungo kikubwa katika familia yetu.” Maneno ambayo yaliibua simanzi na vilio kutoka kwa waombolezaji wengi.

Hata Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar, Augustino Shao aliyekuwa amekaa karibu na Rais Dk Shein alipopewa nafasi naye alisema waziwazi: “Naomba kusema kuwa, kauli hii ya mapenzi ya Mungu haipo… Hili ni suala la uovu na tusikubali kushindwa na uovu.” Kauli hiyo ilionekana kuungwa mkono na waumini.

Ibada hiyo ilihitimishwa kwa sala iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga, Antony Banzi.
Wanasiasa waomboleza
Akizungumza baada ya kumalizika kwa msiba huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa alisema wananchi wamechoshwa na kauli za Serikali za kuwatuliza huku watu wakiendelea kuuawa.

“Watanzania tusiendekeze kauli za Serikali za kila siku, eti Bwana ametoa Bwana ametwaa! Kifo cha Padri Mushi hakikutokana na ugonjwa wala Serikali, lakini haiwezekani kila siku Serikali iendelee na ahadi za maneno matupu.
“Haiwezekani Katibu wa Mufti, Fadhili Soraga ajeruhiwe kwa tindikali, Padri ajeruhiwe kwa risasi, kule Geita mchungaji ameuawa na mwaka jana mwandishi wa habari aliuawa na Jeshi la Polisi, tusidanganyane… tuseme ukweli,” alisema Slaa.

Akizungumzia kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kulitaka Jeshi la Polisi kushirikiana na vyombo vya nje katika upelelezi, alisema: “Suluhisho siyo kuleta ‘Scotland Yard’ hapa, tatizo letu tunashughulika na matawi wakati mzizi ukiwa bado haujakatwa. Tung’oe mzizi wa tatizo.”

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia alivilaumu vyombo vya usalama kwa kushindwa kudhibiti mauaji hayo na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuwajibika kwa mauaji yanayoendelea nchini.

“Rais anapoingia madarakani anaapa kuwa mtiifu kwa Katiba na raia wake, lakini haya matukio ya umwagaji damu yamekuwa kawaida sasa. Damu ya mtu ni ya thamani huwezi kuinunua hata uwe tajiri.”

 

Tuesday 19 February 2013

WIZARA YA NISHATI NA MADINI SIKU ILIPOFANYA SEMINA NA MABROKA JIJINI ARUSHA


MABROKA WAKISIKILIZA KWA MAKINI


KATIBU TAWALA WA WILAYA YA ARUSHA SANFORD AKIJADILIANA NA AFISA BIASHARA WA MKOA WA ARUSHA

KATIBU TAWALA SANFORD AKIJADILIANA JAMBO NA KAMISHNA WA MADINI KANDA YA KASKAZINI INJINIA BENJAMIN MCHWAMPAKA

KAMISHNA WA MADINI KANDA YA KASKAZINI INJINIA BENJAMIN MKWAMPAKA