Arusha
ZIARA
ya Rais Msataafu Jakaya Kikwete aliyoifanya nchini Singapole wakati wa utawala
wake imeanza kuzaa matunda katika Jiji la Arusha baada ya Mpango kabambe
(Master Plan) ya Jiji la Arusha kukamilika.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa kujadili rasimu ya tano na sita ya mpango kabambe wa jiji la Arusha (Master Plan), Godwin Abeid akisikiliza mada kwa makini |
Hayo
yalielezwa jijini hapa jana kwenye mkutano wa mwisho wa uwasilishaji rasimu ya
utekelezaji wa mpango kabambe kwa wadau wa maendeleo wa Halmashauri ya jiji la
Arusha na viunga vyake.
Akizungumza
mjini hapa Mkurugenzi Msaidizi Mpango Kabambe kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Mkazi Amulike Mahenge alisema, mpango huo umelenga katika
kuboresha majiji mawili ambayo ni Mwanza kwa eneo la Nyamagana na Jiji la
Arusha.
No comments:
Post a Comment