LOWASA ATOA POLE MSIBA WA MJUMBE WA UVCCM BENSON MOLLEL ALIYEFARIKI HOTELINI JUZI
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa katikati, diwani wa kata ya Mlangarini Mathias Manga(wa kwanza kushoto), na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Rubein Kunei wakiwa nyumbani kwa wazazi wa marehemu Benson Mollel aliyefariki juzi katika hoteli ya Lush Garden Jijini Arusha.
Mh Lowassa akitoa pole kwa mama mzazi wa Mollel nyumbani kwao Daraja Mbili Arusha
Waziri
Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa pole ya msiba nyumbani
kwa mjumbe wa baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Benson Mollel
aliyefariki duni katika mazingira ya kutatanisha juzi hotelini jijini Arusha. hapa Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel
No comments:
Post a Comment