kamanda Haji Bembe akisaini hati ya makubaliano ya kukubali kumuona Bi.Johari, katika hafla ya kufunga ndoa iliyofanyika kwenye msikiti wa Unga ltd hivi karibuni na baadae katika tafrija fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa High View ulioko mbauda, Arusha. mdau Bembe hongera sana
No comments:
Post a Comment