Baadhi ya wanafunzi wa shule ya
msingi Bassotu Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara wakiwa kwenye mdahalo wa
mabadiliko ya tabia nchi na namna ya kupunguza athari zake ulioendeshwa na
Mtandao wa Asasi za kijamii mkoani Manyara (MACSNET) kwa udhamini wa The
Foundation For Civil Society
|
No comments:
Post a Comment