Friday, 26 October 2012

Mshindi wa Redds Miss Talent 2012, Baby love Kalala ( katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo wengine watano walioingia hatua ya tano bora, shindano hilo lilifanyika katika hoteli ya Girraffe jijini Dar es salaam jana Ijumaa usiku. kutoka kulia ni mshindi namba 13, kutoka kanda ya Mashariki, Joyce Buluhi, mshiri namba 15 kutoka temeke catherine masumbigana, Mshiriki kutoka kanda ya Mashariki Iren Verda, na mshiriki kutoka kanda ya Kinondoni, Brigit Alfred.

No comments:

Post a Comment