hapa sio kwa Babu Loliondo, ni supu ya dawa ya kimasai iliyotokana na mbuzi wawili waliochinjwa siku ya Eid jana huko ngaramtoni kwa Bro. Mzee Mangwangi. anayegawa supu hapo ni Omari Mangwangi, wa kwanza kushoto anayekunywa supu ya dawa ni Edward Steven, mwenyekanzu na kibarakashia ni ustaadh Selemani Said |
No comments:
Post a Comment