Thursday, 25 October 2012

matembezi nyumbani

Mama mzaa chema alipotutembelea nyumbani kwetu Olasiti,  mapema mwaka huu, hapa anaonekana akiangalia picha za harusi. love u mama. pembeni ni shemeji Rehema akionekana kwenye pozi la mazungumzo na mdogo wake( hayupo pichani).

No comments:

Post a Comment