Wednesday, 24 October 2012

MKUTANO MKUU WA APC - MONDULI

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga, akiwa amenyanyua nembo ya APC kama ishara ya kuizindua kwa ajili ya kuanza kutumika, wa kwanza kushoto ni makamu mwenyekiti wa APC, Charles Ngereza, anayefuatia, Claud Gwandu (Mwenyekiti), Mary Mwita (Mweka hazina) na kushoto kwa DC ni Eliya Mbonea (Katibu wa APC)

No comments:

Post a Comment