Sunday 10 February 2013

MAANDAMANO YA CHADEMA DAR ES SALAAM JANA YAAZIMIA KUMNG'OA MAKINDA NA NDUGAI

Add caption






Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema,John Mnyika akiongea katika mkutano.

Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke leo

 Viongozi wa chadema wakiwa katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa Upinzani.

Picha Juu Mamia ya wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano yaliyoandaliwa na chadema kupinga Uonevu wanaofanyiwa wabunge wa Upinzani Bungeni.


Viongozi wa Chadema wakiwa Meza kuu kutoka kushoto katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa, Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe na naibu katibu mkuu Mh Zitto Kabwe.Picha Zote na CHADEMA




Mbunge wa Kawe-Chadema,Halima  Mdee amesema tukianza 2014 itakula kwetu, tuanze sasa.

 Katibu mkuu wa AFP amesema chama chao kinaunga mkono chama makini kama Chadema

No comments:

Post a Comment