Thursday 17 January 2013

MWANAMKE AFUMWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAMKE


 LONDON, Uingereza

MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mafuvu Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu. Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti.
Wakati alipokamatwa alipatikana akiwa na mifupa ya binadamu,(mafuvu), pamoja na viungo vyengine vya viongozi mbalimbali wa serikali waliofariki nchini humo. huku pia  akikutwa na picha za vyumba vya maiti na makaburi. Bibi huyo alipohijiwa juu tabia hiyo alisema kwamba ana mahaba makubwa na maiti.

No comments:

Post a Comment