Wednesday 23 January 2013

WILHELM GIDABUDAY AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA

Gidabiday amesema kuwa lengo kuu la press conference hii ni kuwaomba watanzania kujitolea/kuonyesha uzalendo katika harakati alizozianzisha sasa za
kuanzisha uchangiaji wa kuanzishwa kituo maalumu cha michezo cha Taifa. Amesema, "progress is a slow process", "huwezi kushinda vita kama huna eneo la kutrain wanajeshi wako" akimaanisha watanzania hatujachelewa kuanzisha kituo cha michezo cha taifa bali tunaweza kuanza sasa na tukafanikiwa, Pia maana ya pili ni hatutaweza kufanya vizuri katika michezo kimataifa bila ya kuwa na kituo maalum cha kufundishia wachezaji wetu. (kwa niaba ya Mjengwablog)

No comments:

Post a Comment