Sunday 18 November 2012

WAJUMBE WA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA WAKIWA NDANI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA JANA


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. John Nkolo (aliyesimama) akijitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo wakati Wajumbe wa Tume hiyo walipokwenda kujitambulisha kwake jana jumapili tarehe 18. Novemba, 2012 tayari ya kuanza kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya katika Mkoa huo. Wajumbe wengine ni Bw. Abubakari Ali, Bw. Ussi Ali na Bi. Mwantumu Malale.



No comments:

Post a Comment