Monday, 24 December 2012

KAMANDA JWTZ AKUMBATIA MAKAMANDA WA CHADEMA- HII ILIKUWA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA KUMPOKEA MBUNGE WA ARUSHA GODBLESS LEMA PALE UWANJA WA SHULE YA MSINGI NGARENARO

KAMANDA WA JWTZ AKIONYESHA ISHARA YA PEOPLEES PAMOJA NA JOHN HECHE, MWENYEKITI WA BAVICHA

KAMANDA WA JWTZ AMBAE JINA LAKE HALIKUWEZA KUPATIKANA MARA MOJA AKIPIGA PICHA YA PAMOJA NA MBUNGE GODBLESS LEMA HUKU AKIWA AMEONYESHA ISHARA YA PEOPLEEES!!!!!

No comments:

Post a Comment