Tuesday, 4 December 2012

ZIARA YA WAZIRI KIGODA KIWANDA CHA MOUNT MERU MILLERS

Waziri wa viwanda na biashara Abdallah kigoda(aliyeshika kidevu), akimsikiliza mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mount meru millers Arvind mittal wa kwanza kushoto, mara baada ya waziri huyo kumaliza ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho kinachosindika mafuta ya kula kilichopo njiro mjini Arusha

Waziri Abdallah kigoda wa pili toka kulia akishuhudiwa mashine zinazotumika na kampuni ya Mount meru millers ya jijini Arusha kusindikia mafuta ya kula. anayefuta na kutoa maelezo ni mkurugenzi mtendaji wa mountmeru millers, Arvind Mittal.

Arvind mittal Mkurugenzi wa kampuni ya Mountmeru millers (mbele aliyeingiza mkono ndani ya mfuko), akimuonyesha waziri kigoda (wa pili toka kushoto, mstari wa mbele)mbegu ya alizeti inayotumiwa na kiawanda hicho kuzalishia mafuta ya kula.

No comments:

Post a Comment