PORI KWA PORI BLOG
habari ni haki yako! www.seifmangwangi.blogspot.com
Pages
Home
MICHEZO
HABARI
MAPENZI NA MAHUSIANO
AFYA
Thursday, 6 December 2012
MDAU CATHERINE NA MASAHIBU YA TEMBO HUKO KATAVI
MSIKILIZE CATHERINE HAPA.........."Nilikuwa kwenye tent langu hilo la kwanza hapo, kidogo nikasikia miti kama inakatwa hivi nikajua watu wanafanya kazi hapa kwenye tent. Kidogo naona kitu cheusi karibu na tent kwa ubavuni nilipoangalia vizuri, mtumeeeee! Tembo, baba yangu mzazi. Yupo mita kama 2 kutoka tent langu. Akaenda mpaka kwa mbele ya tent. Si akaanza kusogea taratibu kama picha zinavyoonyesha. Kwani nilitambua kilichokuwa kinaendelea? Nilikuja gundua baadae kwamba habari si habari. Adventure nyingine!"
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment