Monday, 3 December 2012

MWANAFUNZI ATIWA MIMBA NA ASKARI MAGEREZA

Ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Serengeti, amejazwa mimba akiwa kidato cha pili na askari magereza. ameacha masomo lakini askari anaendelea na kazi.hapa anafanyiwa mahojiano na mwanahabari Shadrack Sagati.

No comments:

Post a Comment