Saturday, 22 December 2012

MAPOKEZI YA LEMA UWANJA WA SHULE YA MSINGI NGARENARO

MWENYEKITI WA JUMUIYA  YA VIJANA YA CHADEMA BAVICHA , JOHN HECHE AKIHUTUBIA UMATI WA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO LEO

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI KATIKA HALMASHAURI YA MERU, JOSHUA NASARI AKIHUTUBIA UMATI WA WAPENZI NA WANACHAMA WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA LEO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO

No comments:

Post a Comment