Monday, 24 December 2012

MARA BAADA YA LEMA KURUDISHIWA UBUNGE WAKE, WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (WAMACHINGA) JIJINI ARUSHA WALIOHAMISHIWA UWANJA WA RELINI NMC, , SASA WAMERUDI UPYA KUFANYA BIASHARA ZAO MAENEO WALIYOKATAZWA NA KUTANGAZA VITA KWA MGAMBO WATAKAOTHUBUTU KUWAKAMATA, , KAMA WANAVYOONEKANA HAPA KATIKA PICHA MBALIMBALI.

KINA MAMA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WAKIENDELEA NA BISHARA ZAO KARIBU NA ENEO LA KUOSHEA MAGARI PEMBENI YA SOKO LA KILOMBERO, UONGOZI WA JIJI ULIWAONDOA LAKINI BAADA YA MBUNGE LEMA KUREJESHEWA UBUNGE WAKE WAFANYABISHARA HAWA WAMEKAIDI AMRI HIYO NA KURUDI UPYA HUKU WAKITAMBA MKOMBOZI WAO AMERUDI




HALIKADHALIKA HAPA NI PEMBENI YA SOKO LA KILOMBERO WAFANYABISHARA WAREJEA LICHA YA KUONDOLEWA

SOKO LA KILOMBERO: WAMACHINGA WAMEREJEA UPYA KAMA MWANZO

HAPA NI PEMBENI YA SOKO LA KILOMBERO WAFANYABISHARA WAKIENDELEA NA BIASHARA ZAO NA KUKAIDI AMRI YA JIJINI YA KUWATAKA KUONDOKA

HAPA NI KATIKATI YA MJI MTAA WA JOGOO HOUSE, WAMACHINGA WAMEREJEA UPYA BAADA YA KUONDOLEWA

MTAA WA JOGOO HOUSE KARIBU NA MAABARA YA HIGHWAY WAFANYABIASHARA WAKIENDELEA NA BIASHARA ZAO

HAWA NI WAKAZI WA MSIKITI MKUU WAKISHANGAA UJIO WA MFANYABIASHARA SALIM ALLY ALIYEHUKUMIWA KULIPA FAINI KOSA LA KUFANYA BIASHARA YA BINAADAM HIVI KARIBUNI

No comments:

Post a Comment