Monday, 24 December 2012

SIKU SALIM ALLY MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA ALIVYOPOKELEWA ARUSHA BAADA YA KUHUKUMIWA KULIPA FAINI KWA SHAURI LA KUTOROSHA BINAADAM NJE YA NCHI - ILIKUWA NI FURAHA NA NDEREMO KWA KILA MMOJA

MFANYABIASHARA SALIM ALLY ALIYEKAA KATIKATI AKIZUNGUMZA NA NDUGU ZAKE MARA BAADA YA KUHUKUMIWA KULIPA FAINI KATIKA KESI ILIYOKUWA IKIMKABILI YA KUTOROSHA BINAADAM NJE YA NCHI. ANAYEPUNGA MKONO NYUMA YA KOCHI NI SWAHIBA WA MFANYABIASHARA HUYO BW. SIMBAYA

No comments:

Post a Comment