Pichani ni Mratibu wa Arusha Press Club (APC) Seif Mangwangi akiwa
na Mwenyekiti wa Kurugenzi ya Mahusiano ya APC Cynthia Mwilolezi
wakimkabidhi fedha za Rambirambi Magesa Magesa aliyefiwa na mama yake
mzazi hivi karibuni. Fedha hizo zimechangwa na waandishi wa habari
mkoani Arusha.
|
No comments:
Post a Comment