wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani arusha wakiwa katika
tamasha la siku ya ukimwi duniani lililofanyika katika ukumbi wa chuo
kikuu cha makumira leo, tamasha hilo limeandaliwa na kituo cha radio
5 kwakushirikiana na jumuiya ya afrika mashariki nia ikiwa
kuwahamasisha vijana wasipoteze malengo
yao. |
No comments:
Post a Comment