Wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda akiwa pamoja na wanachama watiifu wa CCM Mkoa wa Arusha waliomfungulia kesi ya uchaguzi kupinga ushindi wa mbunge LEMA ambao ni Agnes Mollel, Happy Kivuyo na anayesoma gazeti ni Mussa Mkanga wakifuatilia hukumu katika mahakama ya rufaa jijini Dar es salaam leo |
No comments:
Post a Comment