Sunday, 2 December 2012

UTALII WA NDANI- MDAU CATHERINE MBENA AKIENDELEA KUJIVINJARI ZIARA YA KIKAZI HIFADHINI

Viboko wakivinjari kwenye maeneo yao ya kujidai ndani ya hifadhi ya TAIFA ya Katavi

NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA KITULO- Catherine anaonekana akifurahia utajiri wa maua iliobarikiwa Tanzania yetu

SIO MAWE- ni Viboko walioko ndani ya hifadhi ya Taifa ya katavi

Tembo ndai ya hifadhi ya Taifa ya Katavi

Twiga na wenyewe wanapatikana ndani ya hifadhi ya Taifa ya Katavi

No comments:

Post a Comment