Saturday, 22 December 2012

PICHA ZAIDI MAPOKEZI YA LEMA- KAMA MFALME

BIASHARA ILIKUWA IKIENDELEA, MASHABIKI WA CHADEMA WAKINUNUA KOFIA NA SKAFU ZA CHAMA HICHO

MKE WA MBUNGE WA ARUSHA MJINI, GODBLESS LEMA AKIWA NA MWANAE KWENYE MAPOKEZI YA MUMEWE AKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM ALIPOKUWA AKISIKILIZA RUFAA YAKE


WAPENZI WA CHADEMA WAKINUNUA NEMBO MBALIMBALI ZA CHAMA HICHO

MZEE AMBAE JINA LAKE HALIKUPATIKANA MARA MOJA AKICHUKUA PICHA ZA KUMBUKUMBU YA KUPOKELEWA KWA MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AKITOKEA DAR ES SALAAM BAADA YA KUSHINDA RUFAA ILIYOMVUA UBUNGE

No comments:

Post a Comment