BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!
TAARIFA
ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE, YULE MWANDISHI WA HABARI ANAYETESA SANA WATU
HAPA ARUSHA KWA KUTUMIA VIBAYA CHEO HICHO JOSEPH NGILISHO AMEKAMATWA NA
TAKUKURU KATIKA HOTELI YA AFRICAN TULIP CORIDOR AREA, (UZUNGUNI) MJINI ARUSHA AKIPOKEA
RUSHWA KUTOKA KWA MMOJA WA WAFANYAKAZI WA EAC, KIASI CHA Tsh 500,000 IKIWA NI KIANZIO CHA Tsh 2,000,000/-
ALIZOTAKA KUPEWA. ALIPOZIPOKEA NA KUTEREMKA NDANI YA GARI YA KIONGOZI HUYO WA EAC, ALIJARIBU KUKIMBIA LAKINI ALINASWA BAADA YA KUINGIA OFISI ZA USALAMA WA
TAIFA KUJIFICHA BILA MAFANIKIO. IMEELEZWA KUWA ALIPOFIKA OFISI HIZO ZA
USALAMA WA TAIFA ALIJITAHIDI KUTOA FEDHA HIZO CHAFU KUZITUPA LAKINI HATA
HIVYO ILISHINDIKANA. ...
HABARI ZAIDI ZINAELEZA KUWA NGILISHO ALIPOKAMATISHWA FEDHA HIZO NA KUGUNDUA KUWA ULIKUWA NI MTEGO ALIANZA KUKIMBIA AKIWA NA BURUNGUTU LA FEDHA MFUKONI NDIPO MAOFISA WA TAKUKURU NA WENYEWE WALIPOANZA KUMFUKUZA ILI WAMTIE HATIANI.
INAELEZWA KUWA MBINU YA MAOFISA HAO YA KURUSHA RISASI HEWANI NDIO ILIYOMFANYA NGILISHO KUTAFUTA SEHEMU YA KARIBU YA KUJIFICHA AKIOGOPA KUPIGWA RISASI LAKINI HATA HIVYO ENEO ALILOKIMBILIA KATIKA OFISI ZA USALAMA WA TAIFA HAPAKUWA MAHALI PAZURI KWAKE.
HATIMAYE ALIKAMATWA NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA OFISI ZA TAKUKURU MKOA WA ARUSHA KWA MAHOJIANO ZAIDI KABLA YA KUFIKISHWA KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA NA KUWEKWA SERO.
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA HAPA HAPA
Monday, 28 January 2013
Sunday, 27 January 2013
SAFARI YA MWISHO YA IMAMU WETU WA MSIKITI WA MASJID NOOR OLASITI, USTAADH JUMA ABDALLAH ALIYEFARIKI JUZI NA KUZIKWA JUZI, BAADA YA KUGONGWA NA GARI ALFAJIRI YA TAREHE 25 AKITOKEA KWENYE MKESHA WA MAULID ULIOFANYIKA UWANJA WA SHEKH AMRI ABEID ARUSHA
MAITI IKITOLEWA MSIKITINI BAADA YA KUSWALIWA NA KUPELEKWA MAKABURINI, |
MAREHEMU AKISITIRIWA |
VIONGOZI WA MSIKITI WA MASJID NOOR WAKIUPOKEA MWILI WA MAREHEMU KUINGIA KABURINI TAYARI KUZIKWA |
MWENYEKITI WA UMOJA WA WALIMU WA MKOA WA ARUSHA AKITOA NENO LA SHUKRANI NYUMBANI KWA MAREHEMU, USTAADH JUMA ABDALLAH |
Friday, 25 January 2013
ST.JOHN WAANDAMANA KUPINGA KUBAKWA
Subscribe to:
Posts (Atom)