Sunday, 27 January 2013

SAFARI YA MWISHO YA IMAMU WETU WA MSIKITI WA MASJID NOOR OLASITI, USTAADH JUMA ABDALLAH ALIYEFARIKI JUZI NA KUZIKWA JUZI, BAADA YA KUGONGWA NA GARI ALFAJIRI YA TAREHE 25 AKITOKEA KWENYE MKESHA WA MAULID ULIOFANYIKA UWANJA WA SHEKH AMRI ABEID ARUSHA






MAITI IKITOLEWA MSIKITINI BAADA YA KUSWALIWA NA KUPELEKWA MAKABURINI,


MAREHEMU AKISITIRIWA


VIONGOZI WA MSIKITI WA MASJID NOOR WAKIUPOKEA MWILI WA MAREHEMU KUINGIA KABURINI TAYARI KUZIKWA

MWENYEKITI WA UMOJA WA WALIMU WA MKOA WA ARUSHA AKITOA NENO LA SHUKRANI NYUMBANI KWA MAREHEMU, USTAADH JUMA ABDALLAH





MKUU WA WILAYA YA ARUSHA - JOHN MONGELA AKITOA NENO LA SHUKRANI NYUMBANI KWA MAREHEMU, WA PILI KUSHOTO ALIYEVAA KOFIA NI KADHI WA MKOA WA ARUSHA NA SHEKH MKUU MKOA WA ARUSHA SHEKH SHAABAN, ANAYEFUATIA NI KAIMU KADHI MKUU TANZANIA



No comments:

Post a Comment