PICHA MBALIMBALI MSIBA WA MAREHEMU MAHMOOD ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAKUYUNI
Add caption
WAANDISHI WA HABARI
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA APC, CLAUD GWANDU, WAKIWA WAMEHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA DIWANI WA MAKUYUNI NDUGU MAHMOOD ALIYEFARIKI NA KUZIKWA NGARAMTONI HIVI KARIBUNI. ANAYEFUATIA NI MOHAMED MSOFE, ABRAHAM GWANDU, NA MWENYE MIWANI NI KASSIM KIKO
MKUU WA WILAYA YA MONDULI, JOWIKA KASUNGA AKIONGOZA MAGARI KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MAHMOOD KALOLENI MJINI ARUSHA KWENDA MAKABURINI HUKO NGARAMTONI
No comments:
Post a Comment