Tuesday, 22 January 2013

SAMUEL SITTA ATOA MAONI YA KATIBA



Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Samwel Sitta akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam jana (jumatatu januari 21, 2013). Kushoto ni Mjumbe wa Tume Bi. Maria Kashonda.

No comments:

Post a Comment