Thursday, 17 January 2013

KATIBU WA APC, ELIYA MBONEA AKICHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO LEO JIJINI ARUSHA

mtaalam wa maabara, Emmanuel akimtoa damu katibu mkuu wa APC, Eliya Mbonea katika kampeni ya kuchagia damu kuokoa maisha ya Mama na Mtoto iliyozinduliwa leo jijini Arusha na mkuu wa wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo na kuendeshwa na shirika la Experience for Action.

katibu Apc Eliya Mbonea akitolewa damu kupimwa uwingi wa damu ili aweze kuendelea na hatua nyingine ya kutolewa damu kuchangia Mama na Mtoto, anayemtoa damu katikati ni Bw.Emmanuel wa hospitali ya Mount Meru jijini Arusha

Eliya Mbonea akipimwa mapigo ya moyo (presha), kabla ya kuendelea katiak hatua nyingine

Eliya Mbonea akitobolewa tayari kutolewa damu

Aidan Ndambako akitayarisha mkono wa Eliya Mbonea tayari kutoboa na kutoa damu

AIDAN MDABUKO a.k.a BIG sasa anatobolewa tayari damu kutolewa

Mtaalam AIDAN MDABUKO a.k.a BIG akitingisha damu ya Eliya Mbonea akiangalia ujazo ambao umeshaingia






ELIYA MBONEA AKIANGALIA UJAZO WA DAMU ILIYOKWISHA INGIA KWENYE KIHIFADHI

HAPA INAELEKEA ANASEMA HIVI?, MY WIFE I LOVE U, NOW I AM DONATING MY BLOOD TO RESCUE YOUR LIFE AND OUR BABIES........



No comments:

Post a Comment