Wednesday, 23 January 2013

SIKU RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA APC NA BAADAE KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA GOLDEN ROSE HOTEL

RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI ZA APC, KULIA ALIYESIMAMA NI MWENYEKITI WA APC, CLAUD GWANDU


AKIENDELEA KUSAINI KITABU CHA WAGENI



MWENYEKITI WA APC, CLAUD GWANDU AKITOA HOTUBA FUPI YA KUMKARIBISHA RAIS WA UTPC KENNY SIMBAYA  KATIKA OFISI ZA APC, JIJINI ARUSHA HIVI KARIBUNI

WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NJE YA JENGO ZILIPO OFISI ZA APC, WA KWANZA KUSHOTO MBELE NI ELIYA MBONEA(KATIBU MKUU), KENNY SIMBAYA (RAIS UTPC), CLAUD GWANDU (MWENYEKITI APC), WALIOSIMAMA NYUMA WA KWANZA KULIA NI MUSTAFA LEU(KATIBU KAMATI YA UHUSIANO), DAVID FRANK (MJUMBE KAMATI TENDAJI APC) AMBAE HAONEKANI VIZURI NI ABRAHAM GWANDU ( MJUMBE KAMATI YA MAHUSIANO), ALIYESIMAMA MBELE KABISA NI MTOTO WA KENNY


RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA WAKIBADILISHANA MAWAZO NA CHARLES NGEREZA (MAKAMU MWENYEKITI WA APC).

RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA KULIA, AKISHUHUDIA MWENYEKITI MSTAAFU WA APC, NIKODEMUS IKONKO AMBAE HIVI SASA NI MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA APC YA MAADILI AKISALIMIANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA APC, CHARLES NGEREZA

KENNY SIMBAYA PAMOJA NA NICODEMUS IKONKO WAKIGONGESHA GLASI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA GOLDEN ROSE.


MWENYEKITI MSTAAFU WA APC, NICODEMUS IKONKO AKIMKABIDHI ZAWADI KUTOKA APC, RAIS WA UTPC KENNY SIMBAYA KAMA KUTAMBUA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA PRESS CLUB NCHINI PAMOJA NA UTATUZI WA MGOGORO WA MUDA MREFU ULIOIKUMBA APC KABLA YA UONGOZI MPYA UNAOTARAJIWA KUMALIZIKA MIEZI MICHACHE IJAYO, WANAESHUHUDIA, KULIA NI DAVID FRANK NA WA KWANZA KUSHOTO NI CHARLES NGEREZA

MWENYEKITI MSTAAFU WA APC NIKODEMUS IKONKO AKIMKABIDHI RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA ZAWADI YA KINYAGO.


MWENYEKITI MSTAAFU WA APC, NICODEMUS IKONKO AKIMKABIDHI KADI YENYE UJUMBE RAIS WA UTPC KENNY SIMBAYA KAMA ISHARA YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KWA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA, ANAYESHUHUDIA KULIA NI DAVID FRANK

MWENYEKITI MSTAAFU WA APC NICODEMUS IKONKO, AKIMPONGEZA KENNY SIMBAYA RAIS WA UTPC MARA BAADA YA KUKABIDHIWA ZAWADI KUTOKA APC YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE.

MWENYEKITI WA APC, CLAUD GWANDU, AKISAINI KADI ALIYOKABIDHIWA RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA

RAIS WA UTPC, KENNY SIMBAYA AKITOA SHUKRANI YA ZAWADI

No comments:

Post a Comment