PICHA MBALIMBALI ZA MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLES LEMA AKIHUTUBIA WAKAZI WA OLASITI JANA, KATIKA MKUTANO WA KUFUNGUA OFISI YA CHAMA KATA YA OLASITI NA MATAWI KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI OLASITI
WAKAZI WA OLASITI NA WAPENZI WA CHADEMA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI, MBUNGE WA ARUSHA MJINI (CHADEMA), GODBLES LEMA,KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI OLASITI JANA
No comments:
Post a Comment