Tuesday, 15 January 2013

AZA YA KULIPA ADA JANUARI - FOLENI NMB NI ZAIDI YA MITA 500, IMETOKA HADI NJE YA BENKI

WAZAZI PAMOJANA BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA KWENYE FOLENI YA KUINGIA BENKI YA NMB CLOCKTOWER KWA AJILI YA KULIPIA KARO ZA SHULE. SHULE ZA SEKONDARI ZIMEKUWA NA UTARATIBU WA ADA KULIPIWA BENKI

FOLENI NI KUBWA MNO, NA HAIJAJULIKANA ITAMALIZIKA SAA NGAPI, HAPA NI PEMBENI MWA MADUKA MENGINE, WAKAZI WA ARUSHA PAMOJA NA WANAFUNZI WAKISUBIRI KUINGIA NDANI YA BENKI KULIPA KARO ZA SHULE

BAADA YA KUKAA MUDA MREFU KWENYE FOLENI WANAFUNZI HAWA WA SHULE YA SEKONDARI - FELIX MREMA WALINASWA NA KAMERA YA SEIFMANGWANGIBLOG WAKIWA WANAKULA ASHKRIM KUPOOZA NJAA BAADA YA KUKAA KWENYE FOLENI KWA MUDA MREFU WAKISUBIRI KULIPA ADA ZAO

FOLENI INAENDELEA

No comments:

Post a Comment