MDAU OMARY YUSUF CHANYIKA ALIPOAMUA KUUAGA UKAPERA NA KUFUNGA NDOA
Baba mzazi wa Omar Yusuf, Yusuf Chanyika akitoa nasaha kwa maharusi katika hafla iliyofanyika Dec 29,2012 nyumbani kwao Magila Mkumbara Mombo wilayani Korogwe, Kulia ni mke wa Yusuf Mainda.
Hongera Seif......I just became aware of this blog.Keep up na kila la kheir
ReplyDeleteShem ndo naona hii blog leo - hongera shem
ReplyDelete