WAFANYABIASHARA WAKIUZA MBOGA AINA YA NGOGWE, SOKO LA MKUMBARA NI MAARUFU KWA KUUZA MBOGA HIZO AMBAZO HUTUMIKA KUTENGENEZEA MLENDA |
MFANYABIASHARA AKIWA AMEPUMZIKA AKISUBIRI WATEJA KUNUNUA BIDHAA ZAKE ALIZOZITANDAZA NDANI YA SOKO LA MKUMBARA |
MAANDALIZI YA UJENZI WA MABANDA |
KINA MAMA WA KIMASAI WAKINUNUA BIDHAA MBALIMBALI NDANI YA SOKO LA MKUMBARA, SOKO HILI HUFANYIK KILA SIKU YA IJUMAA YA MWISHO WA MWEZI, HAPA ILIKUWA TAREHE 29/DEC/2012 |
MDAU, ALLY KANJU AKIKATIZA MITAA YA SOKO LA MKUMBARA ALIPOKUWA LIKIZO YA MAPUMZIKO YA X-MASS NA MWAKA MPYA PAMOJA NA KUHUDHURIA HARUSI YA MDAU OMARI YUSUF CHANYIKA ILIYOFANYIKA NYUMBANI MKUMBARA |
MAANDALIZI YA SOKO, WAFANYABIASHARA WAKIJENGA VIBANDA KWA AJILI YA KUWEKA BIDHAA ZAO KATIKA SOKO LA MKUMBARA |
WANUNUZI NA WAFANYABIASHARA WAKIENDELEA NA SHUGHULI NDANI YA SOKO LA MKUMBARA LILILOKO KATIKA KIJIJI CHA MAGILA, MOMBO WILAYANI KOROGWE |
No comments:
Post a Comment