Thursday, 17 January 2013

WANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA), WACHANGIA DAMU





Mwanafunzi wa chuo cha uhasibu (IAA), Kilichopo njiro jijini Arusha akichangia damu salama katika kampeni za kuchangia damu lililozinduliwa leo mjini arusha.

No comments:

Post a Comment