Tuesday, 12 February 2013

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!CCM YAPITISHA WAJUMBE 14 WATAKAOINGIA KAMATI KUU, YUMO SLAA

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KUTOKA MJINI DODOMA, CCM IMEPITISHA MAJINA YA WAJUMBE 14 WA KAMATI KUU AMBAO NI KAMA IFUATAVYO
1. JERRY SLAA
2.ADAM KIMBISA
3.ANNA TIBAIJUKA
4. WILLIAM LUKUVI
5.DKT EMANUEL NCHIMBI
6.STEPHEN WASIRA
7.PINDI CHANA


ZANZIBAR
1.DKT HUSSEIN MWINYI
2.MH SHAMSI VUAI NAHODHA
3.DKT. SALIM AHMED SALIM
4.MAKAME MBARAWA MNYAA
5.DKT MAUA DAFTARI
6. SAMIA SULUHU HASSAN
7.HADIJA H. ABOUD

No comments:

Post a Comment