Friday, 22 February 2013

WAJUMBE WA KAMATI YA ENEO TENGEFU LA MIRERANI WALIPOTEMBELEA MFEREJI WA D'SOUZA, WAKIONGOZWA NA KAMISHNA WA MADINI KANDA YA KASKAZINI INJINIA BENJAMIN MCHWAMPAKA

Kamishna wa madini kanda ya kaskazini, Injinia Benjamin Mchwampaka akiwaonyesha wajumbe wa kamati ya eneo tengefu la mirerani mdomo wa kuingizia maji katika mfereji wa D'souza uliojengwa na Serikali kuzuia mafuriko ambayo yamekuwa yakisababisha maafa mara kwa mara kwa maji kuingia kwenye machimbo

Wajumbe wakiangalia mfereji wa D'souza wa kwanza kulia ni Frank David mwandishi wa habari wa Tanzania Daima


mfereji wa D'souza kama unavyoonekana, pembeni ni wajumbe wa kamati ya eneo tengefu la mirerani

Mbunge wa Simanjiro na mjumbe wa kamati ya eneo tengefu la Mirerani Christopher Ole Sendeka(kulia),  akiteta jambo na diwani wa kata ya Mirerani Justine Nyari wakiwa kwenye matembezi ya kutembelea mfereji wa D'souza, pembeni yake aliyeshika karatasi ni Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Brigedia Jenerali Francis Kayombo


No comments:

Post a Comment