Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ukiukwaji wa kanuni za bunge
uliofanywa na baadhi ya wabunge wakati wa mkutano wa 10 wa bunge
uliomalizika mjini Dodoma na mabadiliko yaliyofanyika kwa baadhi ya
kamati kuondolewa pamoja na uundwaji wa kamati mpya 3
zitakazoshughulikia Ushirikiano wa Afrika, Mashariki, Bajeti, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa. |
No comments:
Post a Comment