Friday, 8 February 2013

SIKU MKURUGENZI MTENDAJI WA UTPC ALIPOTEMBELEA OFISI ZA APC

kutoka kushoto Martin Taylor mkurugenzi wa shirika la Good Earth Trust Tanzania, Abubakar Karsan Mkurugenzi Mtendaji wa umoja wa klabu za waandishi wa habari TANZANIA (UTPC), Claud Gwandu (Mwenyekiti wa APC), na Eliya Mbonea (Katibu Mkuu wa APC),

Mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsani akizungumza na Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu (katikati), na anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Good Earth Trust Martin Taylor walipotembelea ofisi za APC, ambapo Karsani aliukabidhi uongozi wa APC Kamera ya kisasa ya video, ikiwa ni sehemu ya mradi wa kuboresha ofisi za press clubs.

Mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsan (katikati), akitoa maelezo kwa viongozi wa juu wa APC, Claud Gwandu (MWENYEKITI ), Kushoto na Eliya Mbonea(Katibu Mkuu wa APC).

No comments:

Post a Comment