SHABIRI WA SIMBA AKIWA KWENYE MAWAZO MENGI HUKU MACHOZI YAKIMDONDOKA BAADA YA SIMBA KUTOKA SULUHU YA 1-1 NA JKT OLJORO |
MBUNGE LEMA AKIPANDA JUKWAANI KUSHUHUDIWA MPIRA WA SIMBA NA JKT OLJORO, TOFAUTI NA VIONGOZI WENGINE WANAOPENDELEA KUKAA VIP JUKWAA KUU YEYE HAPA ANAENDA KUKAA JUKWAA LA WALALAHOI JUKWAA B, |
MBUNGE LEMA AKIPATA JUKWAANI NA HAPA ANAPOKELEWA KWA SHANGWE NA MASHABIKI WAKE |
GODBLESS LEMA MBUNGE WA ARUSHA MJINI AKISHUHUDIA MECHI YA SIMBA DHIDI YA JKT OLJORO MWISHONI MWA WIKI HAPA ANAONEKANA AKITAKA KUKAA HUKU AKISHUHUDIA UTAMU WA MPIRA |
MBUNGE WA ARUSHA MJINI AKISHUHUDIA MPIRA WA SIMBA NA JKT OLJORO MWISHONI MWA WIKI KATIKA UWANJA WA SHEKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA |
KIPA WA JKT OLJORO AKIDAKA MPIRA, HUKU MABEKI WA JKT WAKISHUHUDIA, PEMBENI NI MSHAMBULIAJI HATARI WA SIMBA, NGASSA |
SHABIKI HUYU WA SIMBA HAKUWEZA KUJIZUIA BAADA YA KUTOKWA MACHOZI MARA BAADA YA SIMBA KUTOKA SULUHU YA BAO 1-1 NA JKT OLJORO MWISHONI MWA WIKI, HAPA ANAONEKANA AKIFUTA MACHOZI |
SHABIKI WA SIMBA AKIWA AMESHIKA KICHWA KWA MASIKITIKO MAKUBWA MARA BAADA YA SIMBA KUTOKA SULUHU YA 1-1 NA JKT OLJORO JUMAMOSI MWISHONI MWA WIKI |
SHABIKI HUYU AKIWA KWENYE MASIKITIKO MAKUBWA BAADA YA SIMBA KUTOKA SULUHU NA JKT OLJORO. |
No comments:
Post a Comment