Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akielekeza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina maalum kwaajili ya
wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa iliyofanyika mjini Dodoma
katika ukumbi wa White House makao makuu leo.Kushoto anayesikiliza kwa
makini ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM bara Pius Msekwa.Wengine
katika picha ni Rais Wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(Wapili kushoto),Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdurahman Kinana(wanne kushoto), na kulia ni Makamu Mwenyekiti CCm Bara
Ndugu Philip Mangula(Picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment