Add caption |
Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema,John Mnyika akiongea katika mkutano. |
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke leo |
Viongozi wa chadema wakiwa katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa Upinzani. |
Picha Juu Mamia ya wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano yaliyoandaliwa na chadema kupinga Uonevu wanaofanyiwa wabunge wa Upinzani Bungeni. |
Viongozi wa Chadema wakiwa Meza kuu kutoka kushoto katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa, Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe na naibu katibu mkuu Mh Zitto Kabwe.Picha Zote na CHADEMA |
Mbunge wa Kawe-Chadema,Halima Mdee amesema tukianza 2014 itakula kwetu, tuanze sasa. |
Katibu mkuu wa AFP amesema chama chao kinaunga mkono chama makini kama Chadema
No comments:
Post a Comment