Monday, 11 February 2013

NI NIGERIA AFCON 2013, SUNDAY MBAA APELEKA KILIO CHA BAO 1-0 BUKINAFASO

SUNDAY MBAA SHUJAA WA GOLI PEKEE LA NIGERIA LILILOIZIMISHA NGOME YA BUKINAFASO NA KUIBUKA MSHINDI WA AFCON 2013 AKIPONGEZWA NA WENZAKE

Mchezaji wa Burkina Faso, Mady Panandetiguiri akivaana na kipa wa Nigeria, Vincent Enyeama

Mchezaji wa Nigeria, Victor Moses akipambana na ukuta Burkina Faso, Bakary Kone (katikati), Mohamed Koffi (nyuma) na Djakaridja Kone (kulia)

No comments:

Post a Comment