Saturday, 16 February 2013

MAONI YA PADRI KARUGENDO KUHUSU KUJIUZULU KWA PAPA

 


Kuhusu kuzaliwa kwa Yesu Kitika bilblia unaweza tu kusema
yafwatayo, alizaliwa wakati wa Herode Mkuu akiwa mtawala wa Jimbo la Yudea
chini ya utawala wa Kirumi.
Record za kihistoria za mwisho wa maisha ya Herode Mkuu ni
4 BC. Kwa mujibu wa Matayo Mtakatifu kuzaliwa kwa Yesu kuliwafanya Majusi wa
Mashariki (sages from east) kwenda kumwabudu Mtoto Mfalme Yesu. Kwa kwakutokuwa
na details za alipozaliwa, walikwenda kwa Mfalme Herode Mkuu ili kujua kwa
hakika ni wapi alipozaliwa mtoto Mfalme. Sura ya kwanza ya Matayo hutaja kwamba
Mfalme akisikitishwa na taarifa kwamba kuna mtoto aliyezaliwa naye ni Mfalme na
Sages wamekuja kutoa Ibada (Homage) kwa mtoto, alifadhaika sana. Herode aliamua
kuwauwa watoto wote wakiume waliozaliwa  kama isomekavyo Biblia ya
Kingereza tafasiri ya NIV, Fungu la 16 When Herod realized that he had been
outwitted by the Magi, he was furious, and he gave orders to kill all the boys
in Bethlehem and its vicinity who were two years old and under, in accordance
with the time he had learned from the Magi.

Zingatia: Kwa
tafasiri ya Biblia kama Matayo aonyeshavyo, Mfalme Herode alijumlisha taarifa
mbalimbali zikiwemo za Majusi nakuona kwamba Yesu alizaliwa miaka miwili kabla
ya Majusi kufika kwake. Na hivi Mfalme Herode alifariki BC 4 kama tulivyosema
hapo juu, ni wazi kwamba Yesu kibliblia atakuwa amezaliwa BC 6. Unaweza pia
kusema azaliwa kati ya BC 4 hadi 6.

Kuna theological
justification kwa nini Mungu hakupenda tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu ifahamike.
Kiwokovu (Soteriology) Mungu alitaka Ibada isiwe ya Hija kama ambayo wako watu
husafiri kwenda Yerusalem ili kupaona alipozaliwa, aliposulubiwa alipozikwa,
hizi si sehemu ya Mafundisho makuu ya Imani katika Ukristo. Ukristo ni Mungu
anayewatafuta watu na sio watu wanoamtafuta Mungu. The bible story God in
dialogoue with humanity has always been in existential form in that inescapably
God dwells among them, now in shadowy then we shall now him as he is.
Mchungaji

No comments:

Post a Comment