HATA KWENYE SARAKASI SIO MBOVU, HAPA ANAONEKANA AKINYANYULIWA NA VIJANA WAKE |
WAKICHEZA STEJINI NA VIJANA WAKE |
DIAMOND AKIPITA MBELE YA MASHABIKI WAKE |
MASHABIKI WAKIWA MAKINI KUSHUHUDIA ANACHOKIFANYA JUKWAANI DIAMON PLATINUM USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA UKUMBI MPYA WA MARAHA WA SUNDOWN CANIVOR ULIPO KISONGO |
MPENZI WA MUZIKI AKIMTUZA DIAMOND BAADA YA KUPAGWA NA MOJA YA VIBAO VYAKE |
MABAUNSA WAKIWATOA KINA DADA WALIOPANDA STEJINI KUCHEZA NA DIAMOND |
HANA INAONEKANA KAPANDWA NA MZUKA: DIAMOND AKIIMBISHA MASHABIKI WAKE KATIKA UKUMBI WA SUNDOWN CANIVORE KISONGO USIKU WA KUAMKIA LEO |
MWANA BLOG WOINDE NA YEYE ALIKUWEPO, ANAYEFUATIA ALIYEGEUZA MGONGO NI MTANGAZAJI WA RADIO 5, ASHURA MOHAMED |
SHABIKI AKIMNG'ANG'ANIA DIAMOND KUMBUSU |
AKIPENA MIKONO NA MASHABIKI WAKE |
WASANII KUTOKA ARUSHA WAKITUMBUIZA KABLA DIAMOND HAJAPANDA JUKWAANI |
No comments:
Post a Comment