Monday, 11 February 2013

BREAKING NEWS!!!!!!!HIACE YA PARAMIA WAPITA NJIA, YAUA MMOJA YAJERUHI WAWILI...

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!! MAMA MMOJA AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MOIVO BARABARA YA MNARA WA MWENGE JIJINI ARUSHA MITA CHACHE TU KARIBU NA STAND KUU YA MIKOANI, SAA 7.30 MCHANA HUU

MAMA HUYO AMBAE ALIKUWA AKIPITA NJIA, ALIJIKUTA AKIGONGWA NA GARI HILO (PICHANI), NAMBA T173BGS TOYOTA HIACE ILIYOACHA NJIA NA KUMFUATA PEMBENI. HABARI ZAIDI ZINASEMA DEREVA WA GARI HILO AMBAE JINA LAKE HALIKUPATIKANA ALIKUWA AKIGOMBANIA STELING NA MFANYAKAZI WA WRONG PARKING NA KUJIKUTA GARI LIKIACHA NJIA NA KUWAFUATA WAPITA NJIA. KATIKA AJALI HIYO INAELEZWA WAPITA NJIA WENGINE WAWILI AKIWEMO MAMA MMOJA AMBAE AMGONGWA VIBAYA NA MWANUME MMOJA AMBAE ANAELEZWA KUVUNJWA MIGUU. WATE WAMEPELEKWA HOSPITALI YA MKOA MOUNT MERU KWA MATIBABU.








No comments:

Post a Comment