MTOTO AMBAE JINA LAKE HALIKUPATIKANA AKIOSHA KIOO CHA GARI LILILOKUWA LIKISUBIRI KURUHUSIWA KUPITA KATIKA MATAA YA MIANZINI. WATOTO HAO HUSAFISHA VIOO NA KUOMBA PESA KWA MADEREVA |
HAPA KIJANA ALIYEKUWA AKIOSHA GARI AKIONEKANA AKIOMBA UJIRA WAKE BAADA YA KUMALIZA YA KUSAFISHA KIOO, HATA HIVYO HULAZIMISHA KUFANYA SHUGHULI HIYO BILA MAKUBALIANO YOYOTE |
No comments:
Post a Comment