Tuesday, 13 November 2012

CCM NDANI YA KURA ZA MWENYEKITI KIZOTA LEO MJINI DODOMA

Wake wa waasisi wa Tanzania, Mama Fatma Karume na Mama Maria Nyerere wakifuatilia hotuba mbalimbali katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo

Wana CCM wakishangilia leo katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma wakati mzee makamba akitoa hotuba ya kumnadi Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete

Mmoja wa wanaCCM ambae jina lake halikupatikana mara moja akionyesha kitabu chenye wasifu wake leo katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment