Wanafunzi wa shule ya Msingi Mringa wakiwa wamesimama njiani katika eneo la kibaoni na bango lenye ujumbe unaosomeka "Viongozi ngazi za juu hawalioni hili?" wakilalamikia sehemu ya eneo la shamba la shule hiyo kuporwa na wajanja wachache. ujumbe huo ni mahususi kwa Rais Kikwete ambae leo hii anazindua hospitali ya Wilaya ya Arusha iliyopo Olturumet. |
No comments:
Post a Comment